Pages

Pages

Pages

Tuesday, 24 June 2014

SHIRIKA LA HUDUMA ZA AFYA LA MAREKANI (JHPIGO) LAONYESHA FILAMU KATIKA TAMASHA LA KIMATAIFA LA NCHI ZA JAHAZI ZIFF

01 (1)Wananchi na waandaaji wa Filamu ya tohara kwa wanaume iliyotengenezwa na Lisa Russeli wakiangalia filamu hiyo katika Ukumbi wa Hoteli ya Double Tree.
02 (2)Wananchi na waandaaji wa filamu ya Tohara kwa wanaume wakiangalia filamu hiyo hapo jana.
03 (2)Mkurugenzi wa Shirika la Huduma za Afya la Marekani (JHPIEGO) Nchini Tanzania Hally Mahler akielezea umuhimu wa tohara kwa wanaume na sababu zilizopelekea kufadhili na kuandaa filamu hiyo.
05 (1)Msimulizi wa Filamu hiyo msanii Fareed Kubanda (Fid Q) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu madhara yanayowapata wanaume wasiofanyiwa  tohara hasa katika Mikoa ya Njombe  na Iringa Tanzania Bara.
06 (1)Picha ya pamoja ya watengenezaji wa filamu ya umuhimu wa tohara kwa wanaume iliyowasilishwa kwenye Tamasha la Kimataifa la Nchi za Jahazi (ZIFF) katika Ukumbi wa Hoteli ya Double Tree Shangani Mjini Zanzibar.
 (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment