Pages

Pages

Pages

Thursday 26 June 2014

SEPUKILA HAPA...MBINGA

Naam, napakumbuka hapa, ni Kijiji cha Sepukila wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.
Ni kitambo kidogo, lakini mazingira ya sehemu hii ni mazuri na kilimo cha kahawa kimeshamiri.

Ndugu yenu,
Mbega.

No comments:

Post a Comment