Pages

Pages

Pages

Tuesday, 24 June 2014

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CHINA PAMOJA NA MMILIKI WA KAMPUNI YA DANGOTE

22 (1)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akizungumza na makamu wa Rais wa Jamhuri  ya Watu wa China Mh. Li Yuanchao ikulu jijini Dar es Salaam jana.
22 (2)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mmiliki wa kampuni kubwa ya kuzalisha saruji DANGOTE Industries Ltd Alhaji Aliko Dangote ikulu jijini Dar es Salaam jana  (picha na Freddy Maro)

CHANZO FULL SHANGWE


No comments:

Post a Comment