Pages

Pages

Pages

Saturday, 7 June 2014

PIGO UFARANSA!, RASMI! FRANK RIBERY KUZIKOSA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

Out: Franck Ribery (left) will not go to Brazil with France as coach Didier Deschamps (right) looks on

Nje: Franck Ribery (kushoto) hataenda Brazil, huku kocha wake Didier Deschamps (kulia) akitazama mechi. 
 NYOTA wa Ufaransa, Franck Ribery atakosa fainali za kombe la dunia baada ya kushindwa kupona majeruhi yake ya mgongo.
Ribery pamoja na kiungo wa Lyon  Clement Grenier wameondolewa rasmi katika kikosi cha Ufaransa kutokana na majeruhi.
Winga wa Bayern Munich, Ribery amekuwa akisumbuliwa na majeruhi ya mgongo na amekuwa akifanya mazoezi peke yake mpaka leo hii alipojiunga na wenzake mazoezini.
 Ribery aliyeichezea Ufaransa mechi 80 ni mchezaji muhimu kwa  Deschamps na kumkosa katika fainali za kombe la dunia ni pengo kubwa mno.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com


No comments:

Post a Comment