Vijana watanashati wa Skylight Band: Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village -Masaki jijini Dar. LEO PIA SIO YA KUKOSA ITAKUWA ZAIDI YA JANA..!
Maman nangayi e napeli moto…maman nanga a napeli moto (x2)…Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo sambamba na Aneth Kushaba AK 47 wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali.
Nani kama Skylight Band…?
Asanteni ndugu zangu eeeh..! Zemeneja the mutoto ya Kisukuma Aneth Kushaba AK 47.
Amsha amsha imeanza mdogo mdogo, twende kazi…!
Oh I feel brand new….Every time I think about you…We can do anything you wan do..Oh boy I want you to know that I got your back…Oh I feel brand new..Eminado Eminado…..vitu adimu kutoka kwa Digna Mbepera ft Hashim Donode wa Skylight Band.
Habari ya mujini ndio hii.
Bass na Solo zikikung’utwa vilivyo.
Girl your behind is a killer…I can see you’re sensual…See gobe….Omo see gobe..Sam Mapenzi akifanya yake jukwaani.
CHANZO FULL
SHANGWE











No comments:
Post a Comment