Warembo wanaowania taji la mkoa wa Tanga, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakijiaandaa kufanya usafi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, ikiwa ni moja ya kampeni ya kuendelea kulifanya jiji hilo liwe safi muda wote.
Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakijadiliana namna kuanza zoezi la kufanya usafi katika maeneo yayoizunguka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga. Shindano hilo litafanyika jumamosi 21/06/2014/ Mkonge Hotel.
Washiriki wa Nice & Lovely Miss Tanga 2014 wakitupa takataka katika gari maalum la kubeba taka. Mshindi wa kwanza katika shindano hilo atapata zawadi ya gari dogo aina ya Toyota Vitz
Zoezi la usafi limepamba moto na kuliacha eneo hilo safi kabisa. Mgeni rasmi katika shindano hilo atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mheshimiwa Chiku Gallawa
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment