TAIFA KWANZA!

Pages

▼

Pages

▼

Pages

▼

Monday, 30 June 2014

NHIF YATETA NA WADAU WAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

1
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa Waya ya Ilala Mh. Raymond Mushi akifungua mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Malimu Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam kuzingumzia mambo mbalimbali kuhusu huduma hiyo ya bima ya afya, wadau waliohudhuria katika mkutano huo n kutoka wilaya ya Temeke, Ilala na Kinondoni mkoani Dar es salaam, Lengo kuu likiwa kuhamasisha na wananchi kujiunga na mfuko huo na kufikia asilimia 30% ifikapo mwaka 2015, Pia kuangalia changamoto mbalimbali zinazojitokeza wakati wa utekelezaji wa malengo hayo na kuzitatua.
2
Kamimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya  Bw. Khamis Mdee akizungumza na kuelezea mikakati ya mfuko huo kwa wadau waliohudhuria katika mkutano huo leo.
6
Baahi ya wadau waliohudhuria katika mkutano huo
CREDIT: FULL SHANGWE
http://taifakwanza5.blogspot.com/ at Monday, June 30, 2014
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

Contributors

  • Unknown
  • Unknown
  • Unknown
  • http://taifakwanza5.blogspot.com/
Powered by Blogger.