Mhe. Nchemba alikuwa anatokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam na ndipo alipoikuta gari ndogo aina ya RAV 4 short-chassis ikiwa imepinduka.
Haya ni maneno ya Mwigulu:
"Nikiwa njiani Kutoka Dodoma kuelekea Morogoro nimekuta ajali imetokea maeneo ya Kibaigwa,Kusimama na Kutoa Msaada wa huduma ya Kwanza kwa Majeruhi ni wajibu Wakila Mtanzania. Ashukuriwe Mungu ajali haikusababisha Kifo Chohote."
CREDIT: EMMA KAAYA/WANABIDII


.jpg)
No comments:
Post a Comment