Pages
(Move to ...)
Home
KILIMO ENDELEVU
KILIMO HAI
CONTACTS US
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Thursday 26 June 2014
MAKAMU WA RAIS WA CHINA AWASILI ZANZIBAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akipunga mkono wakati akiteremka katika ndege na kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akivishwa shada la Mauwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao wakwanza kulia akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Zanzibar baada ya kuwasili,katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akiwa pamoja na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao wakikagua gwaride rasmi lililotayarishwahapo katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akiangalia ngoma ya Utamaduni (Msewe)baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao kushoto akiwa pamoja na Meneja wa Hoteli ya Lagemma,Andrew Cook wakwanza kulia walipowasili katika Hoteli hio huko Nungwi kaskazini Unguja kwa ajili ya Kikao Maalum.
PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment