Pages

Pages

Pages

Friday, 6 June 2014

KUNRADHI KWA PICHA HII: ONENI DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO ZILIVYOMFANYA DADA YETU HUYU!

Ewe dada kama bado hujatumia dawa hizi jua kwamba bado hujachelewa, na pia kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio yao wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au labda haujatumia ila unafikiria kutumia siku moja, angalia hapa halafu utapata jibu utumie au ubaki na maumbile yako ya halisi.

CREDIT: FAKHI KARUME/WANABIDII

MY TAKE:
Ole wenu mnaopenda kumkosoa Mungu kwanamna alivyowaumba. Madhara yake yanaonekana hapa hapa. Kwa nini usiridhike na ulivyo? Unanunua uzuri ili iweje? Hakika 'ukitaka uzuri, lazima udhurike', matokeo yake ndiyo haya. --- Admin


No comments:

Post a Comment