Pages

Pages

Pages

Thursday 5 June 2014

HAYA YA KOMBA NA MDADA YANA UKWELI WOWOTE?!

Picha mbili zinazodaiwa kumuonyesha Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Damian Komba akiwa na mdada mwenye khanga moja. Mwenyewe amesema ni za kutengeneza hizo tena ni njama za wapinzani wake kisiasa.

No comments:

Post a Comment