
Usalama umeimarishwa nje ya uwanja wa Sao Paolo
10:20 Croatia: Pletikosa; Srna, Ćorluka, Lovren, Vrsaljko; Modrić, Rakitić, Perišić, Brozović; Olić, Jelavić
10:20 Brazil: Cesar; D.Alves, T.Silva, D.Luiz, Marcelo; Paulinho, L.Gustavo; Hulk, Oscar, Neymar; Fred.
10:15 Timu zote zaingia Uwanjani tayari kwa mechi ya Ufunguzi .10:18Timu zote yaani Brazil na Croatia zimetoa vikozi vyao .
9:40 Usalama umeimarishwa nje ya uwanja wa Sao Paolo
9:35 Mpira ambao ulikuwa kwa wakati huu wote katikati ya uwanja huu unachanuka na sasa ni jukwaa la mwimbaji wa kimataifa Jennipher Lopez kuzindua ukurasa wa muziki.
9:33 Bendera ya Brazil imeingia uwanjani rasmi kama bendera ya taifa mwenyeji wa dimba la mwaka huu wa 2014.

Mashabiki wa Brazil na Croatia wakiingia uwanjani.

Mashabiki wa Brazil wakisubiri mechi ya ufunguzi.
9:31 Vijana wakiwa na mipira na vibendera kutoka mataifa yote yanayoshiriki fainali ya dimba hili wakionesha mbwembwe .
9:30 sherehe ya maadhimisho ya Ufunguzi wa Kombe la Dunia Brazil 2014 imeanza rasmi katika uwanja wa Sao Paolo.
No comments:
Post a Comment