.jpg)

Mwanadada mrembo kuliko wote kwa mwaka 2014, Lupita Nyong'o, alinaswa akiwa ufukweni hivi karibuni kama hivi. Ni mapumziko tu, kuolea muhimu pia kama unajua lakini. Hapa ilikuwa kwenye 'beach' ya Maui, Hawaii Jumatano Juni 4, 2014.
Credit: Popsugar
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment