Pages

Pages

Pages

Monday 30 June 2014

COSTA RICA YAPETA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MIKWAJU YA PENATI 5-3 DHIDI YA UGIRIKI

COSTA Rica wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia kwa kuifunga Ugiriki kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya dakika za kawaida na za nyogeza 30 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
Hata hivyo kocha wa Ugiriki,  Fernando Santos alitolewa kwenye benchi kwa kuoneshwa kadi nyekundu kutokana na kumzonga mwamuzi katika mchezo huo ulioenda hatua ya penati.
Sokratis (kushoto) akifunga bao la kusawazisha dakika za lala salama Costa Rica walilazimika kucheza pungufu baada ya mchezaji wake Oscar Duarte kutolewa nje kwa kadi nyekundu mnamo dakika ya 67 kufuatia kadi mbili za njano.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment