Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula akizungumza waandishi wa habari kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika waliyoandaa kupitia akaunti ya Junior Jumbo kwa ajili ya watoto.
Kila aina ya michezo ilikuwepo katika kuipamba Siku ya Mtoto wa Afrika.
Watoto wakicheza michezo mbalimbali nje ya Benki ya CRDB Tawi la Premier, uongozi wa Benki ya CRDB iliwaandali michezo mbalimbali watoto ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula (kushoto), akimkabidhi zawadi mtoto, Hildegalde Moris ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika iliyofanyika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam na kuwashirikisha watoto kutoka shule mbalimbali za msingi.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula (kushoto),
akimkabidhi zawadi mtoto, Owen Gerald ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika iliyofanyika katika tawi
hilo jijini Dar es Salaam na kuwashirikisha watoto kutoka shule mbalimbali za msingi.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula (kushoto), akimkabidhi zawadi mtoto, Jorren Nkongoki ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika iliyofanyika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam na kuwashirikisha watoto kutoka shule mbalimbali za msingi.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.
CHANZO FULL SHANGWE
No comments:
Post a Comment