Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Tuesday, 17 June 2014

BALOZI WA CHINA NA WANAHABARI LEO


IMG_0269Balozi wa China nchini,Lu Youging(kulia) akizungumza na waandishi wa habarikuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Li Yuanchao katikaukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo jijini Dares Salaam.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China ,Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo .IMG_0266Balozi wa China nchini,Lu Youging(kulia) akizungumza na waandishi wa habarikuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Li Yuanchao katikaukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo jijini Dares Salaam. Kushoto ni  Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China ,Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo na kulia ni  First  Secretary  kutoka  ubalozi  wa China ,Ren Zhihong .IMG_0268Balozi wa China nchini,Lu Youging(kulia) akizungumza na waandishi wa habarikuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Li Yuanchao katikaukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo jijini Dares Salaam.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini China ,Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo na watatu kutoka kushoto ni  Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australia kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushiruikiano wa Kimataifa.

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment