Pages

Pages

Pages

Thursday 29 May 2014

WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA

PG4A0908 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Mbunge wa Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma  Mei 28, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A0919PG4A0926Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Mei 28, 2014. Kutoka kushoto  Josephine Chagulla, Esther  Midimu, Christowaja Mtinda na Naomi Kaihula. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)



CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment