Pages

Pages

Pages

Friday 23 May 2014

WAZIRI MKUU MHE. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA LIONS CLUBS

PG4A0004 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivalishwa Medali ya Juu ya Uongozi ya Club ya Lions na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo  wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9989Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwashukuru  viongozi wa  Club ya Lions  Clubs International baada ya kutunkiwa  Medali ya juu ya Uongozi ya Club hiyo na Gavana wa Lions Clubs International wa Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo  (wapili kulia) wakati alipokutana na ujumbe wa Club hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma Mai 22, 2014.Kushoto ni M. Bakary na wapili kushoto ni LION dr. Hussein Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A0091Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadilishana mawazo viongozi wa Lions Club International baada kutunukiwa  Medali ya Juuya Uongozi ya Club  hiyo kwenye makazi yake mjini Dodoma  Mei 22, 2014. Kutoka kushoto ni Sayed Abdul Hai Qadri, M. Bakary, Dr. Hussein Hassan na Gavana wa Lions Clubs Tanzania na Uganda, Wilson Ndesanjo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment