Pages

Pages

Pages

Saturday 31 May 2014

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA NA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, PROFESA SOSPETER MUHONGO BAADA YA BEJETI KUPITA

PG4A1195Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo(kulia) na mkewe, Bertha Mamuya (kushoto) baada ya Bajeti ya Wizara hiyo kupitishwa na Bunge  Mjini Dodoma, Mei 30, 2014.Wengi ni   Mabinti wa Waziri huyo,Bertha Kimariyo (wapili kushoto) na Nyasige Peter.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A1185Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na familia  ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Peter Muhongo (hayupo pichani) baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo mjini Dodoma Mei 30, 2014. Wapili kulia ni Mke wa Waziri huyo, Bertha  Mamuya na wengine ni mabinti wa Waziri , Nyasige Sospeter  (kushoto) na  Bertha Kimariyo . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment