Pages

Pages

Pages

Tuesday 27 May 2014

WASHINDI WA BIMA YA JUBILEE TANZANIA WAKABIDHIWA ZAWADI

01Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania Bw. George Alande (kushoto) akikabidhi zawadi kwa  mkurugenzi wa kampuni ya Bima ya Venture Bw. Alex Lemnge (kulia)aliyeibuka mshindi wa kwanza katika halfa ya utoaji tuzo kwa mawakala wa wanaofanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee halfa hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
02Bw. Iddy Hassan Mashanga kutoka kampuni ya bima ya Light Peace akipokea zawadi ya printer kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaj wa kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania Bw. George Allande wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa mawakala wanaofanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania. 
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment