Pages

Pages

Pages

Friday 16 May 2014

UJUMBE WA IFAD KUKUTANA NA RAIS DKT. SHEIN

IMG_0899
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dr.Yaya Olaniran,Kiongozi Ujumbe  wa Bodi  tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi na kufanya mazungumzo na Rais.{Picha na Ramadhan Othman.Ikulu.}


IMG_0881


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Rasit Peter (kushoto) baada ya mazungumzo na  Ujumbe  wa Bodi  tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi,(katikati) Dr.Yaya Olaniran,Kiongozi wa Ujumbe huo.{Picha na Ramadhan Othman.Ikulu.}
IMG_0863
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe  wa Bodi  tendaji ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi ukiongozwa na   Dr.Yaya Olaniran,(wa tatu kushoto).{Picha na Ramadhan Othman.Ikulu.}
IMG_0868
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein  (kulia) akifuatana na   Dr.Yaya Olaniran,Kiongozi wa Ujumbe wa Bodi Tendaji ya mfuko wa maendeleo ya Kilimo (IFAD) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman.Ikulu.} 


 CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment