Pages

Pages

Pages

Saturday 31 May 2014

TANZIA: MUONGOZAJI WA FILAMU, GEORGE TYSON AMEFARIKI!

Kwa sasa mwili wa Marehemu na majeruhi, wamepelekwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro.
Pia kumbuka George Tysona aliwahi kuwa mme wa msanii Monalisa, na wakabahatika kuzaa mtoto mmoja anayeitwa Sonia.

No comments:

Post a Comment