Pages

Pages

Pages

Monday 5 May 2014

REBECCA MALOPE ALITIKISA JIJI LA MWANZA , AFANYA MAMBO MAKUBWA CCM KIRUMBA

1

2
3
4
5
6
Mh. William Ngeleja akinyanyua juu albam mbili za mwimbaji Grace Mwikwabe wakati akizindua albam hiyo kulia ni Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion na kushoto ni mwimbaji Grace Mwikwabe.

Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akifanya mambo makubwa jukwaani.
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akiita mashabiki wasogeee jukwaani


8
Mh. William Ngeleja akizungumza na kutoa ujumbe wake katika tamasha hilo , anayefuata kulia kwake ni Jaquline Liana mkuu wa wilaya ya Magu na viongozi wengine.
9
Mh. William Ngeleja akiwa ameshika albam ya mwimbanj wa injili Grace Mwikwabe huku Maaskofu wa Mwanza  wakiiombea wakati ilipokuwa ikizinduliwa rasmi
13
Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msama aktoa neno katika tamasha hilo, kushoto ni Mh. William Ngeleja na katikati ni Jaquiline Liana Mkuu wa wilaya ya Magu.
14
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Kenya Sara K. akifanya vitu vyake huku mashabiki wakimpongeza.
15
Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama akicheza  mara baada ya kuguswa na wimbo mmoja wapo Mwimbaji Rebecca Malope akiimba jukwaani.
16 17
Upendo Kilahiro naye akafanya mambo makubwa na kuimbisha mashabiki wake.
18
Upendo Kilahiro akicheza na MC Mwakipesile na waimbaji wenzake Faraja Ntabona wa Congo DRC na Tumaini Njole.
19
Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama akimkaribisha mgeni rasmi Mh. William Ngeleja wakati walipowasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba katika tamasha la Pasaka wengine ni maaskofu wa mkoa wa Mwanza.
20
Alex Msama na vijana wake
21 22 23
Ni Fullnyomi



CHANZO FULL SHANGWE


No comments:

Post a Comment