Pages

Pages

Pages

Friday 16 May 2014

RAIS KIKWETE AMUAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA URUSI, NAIBU KATIBU MTENDAJI WA TUME YA MIPANGO JANA

k1 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 15, 2014
k2Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha baada ya kumuapisha  Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam jana  Mei 15, 2014k3Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango  Ikulu jijini Dar es salaam jana  Mei 15, 2014k4Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi makabrasha  baada ya kumuapisha Mhe Paul Thomas Sangawe kuwa Naibu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango  Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 15, 2014
k5Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, wakiwa na walioapishwa Luteni Generali Wyjones Kisamba na  Mhe Paul Thomas Sangawe  Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 15, 2014 
 CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment