Pages

Pages

Pages

Saturday 3 May 2014

MRISHO MPOTO ANABURUDISHA WANAHABARI MEDIA DAY ARUSHA

'Mjomba' Mrisho Mpoto anaendelea kutoa burudani kwa wanahabari wanaoshiriki Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani kwenye ukumbi wa Mbayuwayu katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (AICC) jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment