Pages

Pages

Pages

Friday 23 May 2014

MAMBO SASA BYEE!, MBEYA CITY YAENDA SUDAN

IMG_1150Na Boniface Wambura, Dar es salaam
Timu ya Mbeya City inaondoka leo usiku (Mei 22 mwaka huu) kwenda Sudan kushiriki michuano ya Kombe la Nile Basin inayoanza kutimua vumbi kesho (Mei 23 mwaka huu) jijini Khartoum, Sudan.
Kikosi cha Mbeya City chenye watu 25 wakiwemo wachezaji 20 kinaondoka saa 2.55 usiku kwa ndege ya Kenya Airways kupitia Nairobi ambapo kesho (Mei 23 mwaka huu) saa 5 asubuhi kitaunganisha ndege nyingine hadi Khartoum.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blospot.com
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment