Pages

Pages

Pages

Friday 23 May 2014

MAMA SHEIN APOKEA MSAADA WA VYERAHANI

DSC_0025Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akipokea Msaada wa Vyarahani Kutoka kwa Mke wa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mama Wu Yan Ikulu ya Migombani leo,(kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi na Safia Mlinde Mke Mbunge wa Jimbo la Bumwini.(kulia) [Picha na Othman Maulid)


CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment