Pages

Pages

Pages

Saturday 24 May 2014

HIVYO NDIVYO UGOMVI WA WAKULIMA NA WAFUGAJI UNAVYOANZA

 
Mara nyingi ugomvi baina ya wakulima na wafugaji huanza namna hii kama ng'ombe hawa wanavyoonekana wakilishwa pembezoni mwa shamba la mpunga uliokomaa huku wachungaji wakiangalia.
Nimewakuta leo hii huko Pawaga wakiwa hawana wasiwasi kabisa huku malisho mengine yakionekana wazi yenye majani ya kutosha.
Kumbe, ugomvi huu unaepukika busara zikitumiwa.


No comments:

Post a Comment