Pages

Pages

Pages

Monday 26 May 2014

CRISTIANO RONALDO NA GARETH BALE WAONGOZA SHEREHE ZA UBINGWA MJINI MADRID, `MADEMU` ZAO WAHUSIKA MNOOO!

All white on the night: Gareth Bale and Luka Modric celebrate Real's Champions League victory on the streets of Madrid
 Gareth Bale na Luka Modric  wakishangilia ubingwa wa  Real katika mitaa ya Madrid.
CRISTIANO Ronaldo na Gareth Bale wameongoza sherehe za ubingwa wakati Real Madrid wakipita mitaa ya mji mkuu wa Hispania, Madrid, wakishangilia kunyakua ubingwa wa UEFA kwa kuwafunga mabao 4-1 wapinzani wao Atletico Madrid katika mchezo wa fainali jana usiku mjiji Lisbon
Wachezaji wa Real wamesherehekea na mashabiki wao mapema leo asubuhi wakiwa katika basi la wazi mjini Madrid ikiwa zimepita saa kadhaa tangu wachukue ndoo ndani ya dakika za nyongeza.
Wachezaji wa Carlo Ancelotti baada ya kumalizika kwa mechi mjini Lisbon walisafiri moja kwa moja kurudi Madrid na kushangilia usiku kucha.
Leading the celebrations: Cristiano Ronaldo sings into a microphone on the open top bus
Ukiongoza sherehe: Cristiano Ronaldo akiimba wimbo wakati wakiwa katika basi la wazi.
Kutazama picha za tukio zima bofya www.bkmtata.blogspot.com

CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment