Pages

Pages

Pages

Monday 12 May 2014

BUNDUKI 23 ZA ENGLAND ZA KOMBE LA DUNIA ZATANGAZWA, ROONEY KUONGOZA MASHAMBULIZI

THe boss: Roy Hodgson has named his 23 man squad for the World Cup in Brazil

Bosi: Roy Hodgson ametanagaza kikosi cha wachezaji 23 kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.
Our men: The England squad in full for this summer's World Cup

Star man: Wayne Rooney is one of the key strikers in Roy Hodgson's 23-man squad
Nyota: Wayne Rooney ni miongoni mwa wachezaji 23 walioitwa na Roy Hodgson

KOCHA wa timu ta taifa ya England, Roy Hodgson ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil. 
Katika kikosi hicho Ashley Cole aliyetangaza kustaafu jana baada ya kupewa rasmi na kocha Hodgson kwamba hatoitwa kwa pamoja na Micheal Carrick, Tom Cleverly, Jermaine Defoe wote wametemwa.
Kikosi kizima hiki hapa;
Walinda mlango: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Mabeki: Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United), Luke Shaw (Southampton), Leighton Baines (Everton),
Viungo: Steven Gerrard (Liverpool), Frank Lampard (Chelsea), Jordan Henderson (Liverpool), Ross Barkley (Everton), Jack Wilshere (Arsenal), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Raheem Sterling (Liverpool), Adam Lallana (Southampton), James Milner (Manchester City)
Washambuliaji: Daniel Sturridge (Liverpool), Wayne Rooney (Manchester United), Danny Welbeck (Manchester United), Rickie Lambert (Southampton)

Wachezaji wa akiba: Ruddy, Cleverley, Flanagan, Carroll, Stones, Defoe, Carrick

http://bkmtata.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment