Pages

Pages

Pages

Friday 30 May 2014

BALOZI MDOGO MISRI AMUAAGA RAIS DKT SHEIN

IMG_2055Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi Mdogo wa  Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed  Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana  kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_2063Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mdogo wa  Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed  Ismail, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_2090 (1)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi  Mdogo wa  Misri anayefanyia kazi Zanzibar Mhe, Walid Mohamed  Ismail,  aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar jana akimuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]



CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment