Pages

Pages

Pages

Sunday 18 May 2014

ATLETICO MADRID WATWAA NDOO YA LA LIGA 2013/2014, BARCELONA WAMALIZA MSIMU BILA TAJI

Atletico Madrid's title-winning players celebrate by throwing coach Diego Simeone into the air

ATLETICO Madrid ndio mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Hispania, maarufu kwa jina la  La Liga baada ya kulazimisha sare ya 1-1 usiku huu na Barcelona Uwanja wa Camp Nou. 
Hilo linakuwa taji la 10 la Atletico la La Liga, baada ya awali kutwaa katika misimu ya 1939–40, 1940–41, 1949–50, 1950–51, 1965–66, 1969–70, 1972–73, 1976–77 na 1995–96.
Aidha, hii inakuwa mara ya kwanza baada ya miaka tisa kwa timu nje ya Barcelona na Real Madrid kutwaa taji hilo, mara ya mwisho Valencia walikuwa mabingwa msimu wa 2003-2004. 
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
CHANZO FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment