Pages

Pages

Pages

Thursday 1 May 2014

WAZIRI CHIKAWE,IGP MANGU WALA KIAPO KUTUMIKIA TUME YA UTUMISHI YA POLISI NA MAGEREZA

1
2 3 4 5 6 7
Kamishna wa Utawala na Utumishi wa Jeshi la Polisi, Thobias Andengenye akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)




CHANZO,FULL SHANGWE 

No comments:

Post a Comment