![]() |
Baadhi ya waandishi wa Habari waliohudhuria Mkutano huo wakimsikiliza Meneja Uhusiano na Masoko kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF Bi. Lulu Mengele wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Georgina Misama
Posted By Blogger to THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG
CHANZO,FULL SHANGWE
|
No comments:
Post a Comment