Pages

Pages

Pages

Saturday 26 April 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA

1
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar  yaliyoasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26 mwaka 1964, Watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo marais wa nchi mbalimbali za Afrika, Viongozi mbalimbali na wawakilishi wa nchi  katika mataifa mbalimbali ya Afrika, Nchi za kiarabuni, Asia  na  Ulaya, Fullshangwe ilikuwepo kwenye   eneo la tukio na kukuletea moja kwa moja matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika maadhimisho hayo ambayo yamefana kwa kiwango kikubwa.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA WA UHURU)
2 3 4 5 7 8 9 10 11 14 15 16 17 18 19 20
3
4 5 6 7 9 10 11 13 14 15 16 17 18 19 20
Ni maumbo mbalimbali yaliyoonyeshwa na watoto wa halaiki wakati wa maadhimisho hayo.

CHANZO, FULL SHANGWE

No comments:

Post a Comment