Pages

Pages

Pages

Saturday 25 January 2014

TUMETOKA MBALI... TOKA MBALI... TUMETOKA MBALI!

Shughuli nyingi, kama si zote, ambazo tunazifanya ukubwa, lazima zina msingi wake wa tangu utotoni. Hata kilimo, kama mtoto asipofundishwa ama kuzoeshwa mapema, kamwe hawezi kuzipenda.

No comments:

Post a Comment