Pages

Pages

Pages

Sunday 19 January 2014

TUMETOKA MBALI... TOKA MBALI... TUMETOKA MBALI!

Tunawasaidia wazazi pia. Mtoto huyu akiwa amebeba mdogo wake wakati wazazi wao wakifanya shughuli nyingine. Hapa ni katika Kijiji cha Ilindi, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment