Pages

Pages

Pages

Sunday 26 January 2014

SIMBA KIBOKO YA FARU, YAINYUKA 1-0 RHINO RANGERS

Mtanange kati ya Simba na Rhino Rangers ukiendelea uwanja wa Taifa jijini Dar.
Taswira za uwanja wa Taifa kabla ya mechi kuanza.
(Picha na Nicolaus Track/ GPL)
TIMU ya Simba SC imeibuka na pointi tatu katika mtanange wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuilaza Rhino Rangers bao 1-0.
Mechi hiyo imepigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Bao la Simba limewekwa kimiani na Ramadhan Singano 'Messi' katika dakika ya 13 kipindi cha kwanza.
Messi pia alikosa penalti katika dakika ya 69 ya kipindi cha pili.

<GPL>

No comments:

Post a Comment