Pages

Pages

Pages

Sunday 5 January 2014

LYATONGA MREMA APEWE UWAZIRI TENA!

Huyu Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro aliwashikisha adabu wale wote wenye kiburi. Kuanzia wanaume waliopenda kutesa wake zao mpaka magabachori. Sasa jamaa akipewa wizara yoyote kwa sasa, ambapo ufisadi umetamalaki, naamini anaweza kuwanyorosha...

No comments:

Post a Comment