Pages

Pages

Pages

Monday 6 January 2014

KALALE PEMA PEPONI KAMANDA MGIMWA


 Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi lililohifadhi mwili wa William Mgimwa wakati wa maziko ya waziri huyo aliyefariki Januari Mosi mwaka huu nchini Afrika Kusini. 

 Wazee wa kabila wa Wahehe wakiweka shada la maua kwenye jeneza lililohifadhi mwili wa aliyekuwa waziri wa fedha, William Mgimwa.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa waziri wa fedha, William Mgimwa.
Mjane wa marehemu Mgimwa, Jane, akilia kwa uchungu. (Picha zote kwa hisani ya Mjengwablog).

No comments:

Post a Comment