Pages

Pages

Pages

Wednesday 15 January 2014

DAWA ZA KULEVYA: CHINA NI SHABA TU KWA 'PUNDA WABEBA MIZIGO'

Wenzetu China hawana mzaha kwa wanaokamatwa wakisafirisha dawa za kulevya 'punda'. Wao sheria zao zinaruhusu hata kupigwa shaba kama hivi...



 ...tena mbele ya halaiki ya watu. Sisi hata vifungo ni kazi, badala yake vigogo hao ndio tunaowapigia saluti.


No comments:

Post a Comment