Pages

Pages

Pages

Sunday 19 January 2014

BARUA KUTOKA CHINA: VIGOGO WA DAWA ZA KULEVYA (4)

Ndugu zangu,
Hizi ni barua ambazo zimesambazwa mtandaoni zikiwa zimeandikwa na wanaodaiwa kuwa wafungwa wa Kitanzania wanaotumikia vifungo kutokana na kukamatwa na dawa za kulevya huko Uchina. 
Wahusika hao wanajaribu kutoa tahadhari kwa Watanzania wenzao kwamba wasithubutu kuwa 'punda' wa kubeba dawa hizo kwa sababu kukamatwa ni asilimia kubwa kuliko kunusurika. 
Lakini pia wanawataja baadhi ya watu wanaodaiwa kwamba ndio wanaowatuma.
Barua hizi zinapatikana pia kupitia hapa <v2catholic.china8.org> 







No comments:

Post a Comment