Pages

Pages

Pages

Monday 13 January 2014

ARSENAL INAONGOZA 2-0 VILLA PARK


  • Wapiga Bunduki wa London, Arsenal mpaka sasa wanaongoza kwa mabao 2-0 ugenini kwa Astona Villa, pale Villa Park. Bao la kwanza limefungwa na Jack Wilshire dakika ya 34 na bao la pili limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 35 baada ya kukosa mabao kadhaa.
  • Uwezekano wa Arsenal kushinda mechi hii kwa mabao mengi bado upo kwa sababu mpaka sasa inaongoza kwa ball posseion 78 kwa 22! Italipa kisasi cha kufungwa mabao 3-1 Emirates?

  • No comments:

    Post a Comment