Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Sunday 1 December 2013

WACHA WACHINA WAJE MCHUCHUMA, PENGINE USAFIRI UTAKUWA RAHISI

Mmiliki wa blog hii, Brother Danny (wa pili kushoto) akisukuma gari mlimani wakati akitokea kwenye mihangaiko ya kazi huko Mchuchuma wilayani Ludewa. Usafiri ni shida sana, tazama hata mbuzi yuko kwenye carrier.

Gari limewaka, lakini tazama moshi wake utafiki kiwanda cha kupika lami.

No comments:

Post a Comment