Pages

Pages

Pages

Tuesday 10 December 2013

NDANI YA MAKAO MAKUU YA TANAPA

 Admin wa blog hii akiwa nje ya makao makuu ya TANAPA jijini Arusha.


 Ofisa Mawasiliano wa TANAPA, Catherine Mbena, akimkaribisha Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Dk. Ezekiel Dembe ili auzungumze na wanahabari.

 Mkurugenzi wa Ujirani Mwema, Ahmed Mbugi akifafanua jambo.

No comments:

Post a Comment