Pages

Pages

Pages

Monday 16 December 2013

NASEMA PIGA MAGOTI, MIMI NDIYE IDI AMIN DADA

Baada ya kumpindua Dk. Milton Obote mwaka 1972, Dikteta Idi Amin Dada alionyesha 'jeuri' yake kwa kuwapigisha magoti wazungu na waasia, ambao baadaye aliwafukuza nchini Uganda.

Akawaamuru wambebe kama hivi. Kimsingi yeye ndiye Mwafrika pekee aliyebebwa na Wazungu akilipiza vile mababu zetu walivyofanyishwa na wakoloni. Idi Amin bwana...

No comments:

Post a Comment