Pages

Pages

Pages

Friday 13 December 2013

HUWEZI KUWACHUNGA NYATI, LAKINI NIMEWAKARIBIA



 Kati ya hifadhi tano nilizozitembelea wiki iliyopita ni Arusha pekee ambayo nilijiona huru zaidi. Mbali ya kuwaona wanyama aina ya Mbega, lakini niliweza kupiga picha kwa karibu zaidi na Nyati pamoja na Twiga. Haya siyo maigizo, nenda mwenyewe ukatembelee na utasadiki ninayokueleza. Ukitaka kujua uhondo wa ngoma, ingai ucheze.

No comments:

Post a Comment