Pages

Pages

Pages

Sunday 3 November 2013

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI WAKISAKATA RHUMBA BAADA YA KIKAO CHA BARAZA JIJINI MBEYA


Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lilian Mapfa (kushoto) akisakata rhumba katika miondoko ya twisti na Mkurugenzi Msaidizi wa wizara hiyo, Nigel Msangi katika Ukumbi wa Mtenda Sunset baada ya Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo cha siku tatu kufungwa katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga (kushoto) akisakata rhumba na Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jane Massawe katika Ukumbi wa Mtenda Sunset baada ya Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo cha siku tatu kufungwa katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakisakata rumba katika Ukumbi wa Mtenda Sunset huku wengine wakiwaangalia wanavyosakata rumba baada ya Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo cha siku tatu kufungwa katika Hoteli ya Paradise jijini Mbeya. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

No comments:

Post a Comment