Pages

Pages

Pages

Monday 4 November 2013

PUNDA HARAMU? NANI KAKWAMBIA... HATA KIBUDU ANALIWA BWANA

"Kafa mwenyewe au kauawa? Kama kafa, kwa ugonjwa gani? Lakini wacha nimshughulikie, nani ananiona?"
"Hiki kisu chenyewe mbona kinazingua? Wanoko wasije wakaniona wakazusha balaa bure!"
"Si unaona bwana, Punda ni ngozi... ikotolewa inabaki nyama! Hapa fasta tu napeleka kilabuni. Atakayejua nani kwamba hii nyama ya punda. Kichwa, 'ngwala' na ngozi navifukia. Hakuna fedha inayonuka bwana..."
Picha hizi kwa hisani ya Daraja.





No comments:

Post a Comment