Twitter Buzz

....

....

...

...

IMETOSHA!

IMETOSHA!

Featured post

KIJANA GOZBERT BWELE ALIVYOMPAGAWISHA MAKAMU WA RAIS WA HISPANIA MJINI NANSIO

Makamu wa rais mstaafu wa Hispania, Mama Maria Teresa Fernandes De la Vega alishindwa kujizuia na kwenda kumtuza mtoto Gozbert ...

Friday, 5 June 2015

SWAHIBA WA SADDAM HUSSEIN AFARIKI

Tariq Aziz
Taarifa kutoka wizara ya sheria nchini Iraq imetangaza kifo cha Tariq Aziz aliyekuwa mshauri wa karibu wa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Saddam Hussein.

Tariq Aziz amefariki dunia mapema leo akiwa angali jela alikokuwa akizuiliwa tangu alipokamatwa wakati nchi hiyo ilipovamiwa kivita na Marekani iliyoungo'a utawala wa Saddam Hussein.
Tariq Aziz amefariki akiwa umri wa miaka 79.
Alihudumu kama naibu waziri na pia waziri wa mambo ya nje wa serikali hiyo ya Sadam Hussein.
CREDIT: BBC

No comments:

Post a Comment